Jumatatu, 4 Mei 2015

MKOMBOZI KWA WATAFUTAJI NI TASDEF JIUNGE LEO NA UNUFAIKE KIMAISHA

TASDEF ina kupa fursa kadha wa kadha ni wewe tu kufafanya uamuzi uolio sahihi na thabiti ijue TASDEF, jiunge na TASDEF uone manufaa ya TASDEF.

TASDEF sio chama cha siasa ni taasisi isiyo ya kiserikali ambayo inakupa furs mtanzania kuwa na maisha ambayo kila siku unayazungumza na kuya waza sasa TASDEF inaleta ndoto na njozi zako ziwe halisia hivyo wewe una njozi za kukua kimaendeleo basi chaguo lako kubwa ni TASDEF

1. JIUNGE
2.UNDA KUNDI LA WATU 5
3.WEKEZA KIWANGO CHA CHINI NI SHILLINGI 500
4. CHUKUA MKOPO
5. PATA ELIMU BURE YA UJASIRIAMALI
6. ENDELEZA BIASHARA YAKO SASA
7. PATA BONASI NZURI UNAPOWATAARIFU WATU WENGINE
8. PATA FURSA ZA UJASIRIAMALI NA AJIRA NA TASDEF
9. NA FAIDA KEDE KEDE NA TASDEF

Mawasiliano
Simu: +255757302921
Email: tasdef17@gmail.com
UBUNGO KARIBU NA KAGAME HOTEL

                      TASDEF: " Ni mwangaza wa maisha yako"

                                "NYOTE MNAKARIBISHWA"

Jumapili, 3 Mei 2015

JE WEWE NI MJASIRIAMALI ULIYE NA MIPANGO YA KUKUA ZAIDI?

TASDEF inatoa fursa kwa wajasiriamali wenye njozi za kukua na kukuza biashara zao. TASDEF inatoa fursa ya kupata mkopo ambao utaweza kuutumia na kufanya biashara yako pasipo wasi wasi wa aina yeyote. Masharti ni madogo tu ambayo ni kama yafuatayo;
  1. JIUNGE NA TASDEF LEO 
  2. UNDA KUNDI LA WATU WATANO
  3. WEKEZA NA TASDEF KWA KIWANGO CHA CHINI CHA SHILINGI 500 TU
  4. TAARIFU WENGINE KUHUSIANA NA FURSA HII
Kujiunga na TASDEF ni rahisi sana wasiliana na ofisi na upate mkopo na kujiunga pia.

                                   FAIDA ZA KUWA NA TASDEF
  • UTAPATA FURSA YA KUWEKEZA KIDOGO KIDOGO
  • UTAPATA MKOPO KWA RIBA NDOGO PASIPO NA MASHARTI MAKUBWA
  • KUPATA BONASI NZURI UNAPO DHAMINI MAKUNDI MENGINE ZAIDI
  • KUPATA RIBA YA UWEKEZAJI 
  • KUPATA ELIMU YA UJASIRIAMALI BURE
  • KUPATA FURSA YA MBALI MBALI ZA UJASIRIAMALI NA AJIRA KWA ALIYE JIUNGA
Jiunge leo na TASDEF upate mlango wa kutokea kimaisha

  TASDEF: "Ni mwangaza wa maisha yako"

Mawasiliano
Simu:+255757302921
Email: tasdef17@gmail.com
                                 "NYOTE MNAKARIBISHWA"

UONGOZI WA TASDEF

TASDEF ina uongozi ulioimara wenye kuangalia zaid maslahi ya watu uongozi wa TASDEF ni kama ufuatao;


1.IMAN MOSES-MWENYEKITI- +255757302921

2.MUSA MWANTIMWA-KHATIBU-+255766720853

3.JOSEPH CHRISTOPHER-MHASIBU-+255769587902

4.CHRISTINA MGOHIGANGA-AFISA MIPANGO-+255756209216

5.GETRUDA LYIMO -AFISA UTUMISH - +255768102881

6.TABU HAMISI-MSHAURI-+255754350227
                

Email: tasdef17@gmail.com


OFISI
UBUNGO KARIBU NA KAGAME HOTEL

TASDEF(TANZANIA SOCIETIES DEVELOPMENT AND EMPOWERMENT FOUNDATION)

TASDEF ni taasisi isiyo ya kiserikali iliyoanzishwa Tarehe 17/01/2014. TASDEF ina lengo kubwa la kumfanya mtanzania aweze kujikomboa mwenyewe pasipo kutegemea mtu wa aina nyingine. TASDEF ina amini kwamba maendeleo ni mtu mwenyewe akiamua kujihusisha katika suala la maendeleo.