TASDEF ina kupa fursa kadha wa kadha ni wewe tu kufafanya uamuzi uolio sahihi na thabiti ijue TASDEF, jiunge na TASDEF uone manufaa ya TASDEF.
TASDEF sio chama cha siasa ni taasisi isiyo ya kiserikali ambayo inakupa furs mtanzania kuwa na maisha ambayo kila siku unayazungumza na kuya waza sasa TASDEF inaleta ndoto na njozi zako ziwe halisia hivyo wewe una njozi za kukua kimaendeleo basi chaguo lako kubwa ni TASDEF
1. JIUNGE
2.UNDA KUNDI LA WATU 5
3.WEKEZA KIWANGO CHA CHINI NI SHILLINGI 500
4. CHUKUA MKOPO
5. PATA ELIMU BURE YA UJASIRIAMALI
6. ENDELEZA BIASHARA YAKO SASA
7. PATA BONASI NZURI UNAPOWATAARIFU WATU WENGINE
8. PATA FURSA ZA UJASIRIAMALI NA AJIRA NA TASDEF
9. NA FAIDA KEDE KEDE NA TASDEF
Mawasiliano
Simu: +255757302921
Email: tasdef17@gmail.com
UBUNGO KARIBU NA KAGAME HOTEL
TASDEF: " Ni mwangaza wa maisha yako"
"NYOTE MNAKARIBISHWA"
TASDEF ni taasisi isiyo ya kiserikali iliyosajiriwa mnamo tarehe 17/01/2014 yenye namba ya usajiri 00NGO/00006861 chini ya sheria ya usajiri wa taasisi zisizo za kiserikali ya mwaka 2002. Nafasi ya juu kabisa katika tasisi hii ni Mwenyekiti ambaye anaitwa IMAN MOSES. NJOZI YA TASDEF “Ni kuwa tasisi ya kwanza kumwezesha mtanzania kuwa na maisha bora kwa aishie kijijini au mjini” Mawasiliano; +255757302921, tasdef17@gmail.com, UBUNGO KARIBUI NA KAGAME HOTEL.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni