TASDEF ni taasisi isiyo ya kiserikali iliyoanzishwa Tarehe 17/01/2014. TASDEF ina lengo kubwa la kumfanya mtanzania aweze kujikomboa mwenyewe pasipo kutegemea mtu wa aina nyingine. TASDEF ina amini kwamba maendeleo ni mtu mwenyewe akiamua kujihusisha katika suala la maendeleo.
TASDEF ni taasisi isiyo ya kiserikali iliyosajiriwa mnamo tarehe 17/01/2014 yenye namba ya usajiri 00NGO/00006861 chini ya sheria ya usajiri wa taasisi zisizo za kiserikali ya mwaka 2002. Nafasi ya juu kabisa katika tasisi hii ni Mwenyekiti ambaye anaitwa IMAN MOSES. NJOZI YA TASDEF “Ni kuwa tasisi ya kwanza kumwezesha mtanzania kuwa na maisha bora kwa aishie kijijini au mjini” Mawasiliano; +255757302921, tasdef17@gmail.com, UBUNGO KARIBUI NA KAGAME HOTEL.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni